Date: 
28-01-2020
Reading: 
Psalm 115:11-18  (Zaburi 115:11-18

TUESDAY 28TH JANUARY 2020  MORNING  

Psalm 115:11-18 New International Version (NIV)

11 You who fear him, trust in the Lord
    he is their help and shield.

12 The Lord remembers us and will bless us:
    He will bless his people Israel,
    he will bless the house of Aaron,
13 he will bless those who fear the Lord
    small and great alike.

14 May the Lord cause you to flourish,
    both you and your children.
15 May you be blessed by the Lord,
    the Maker of heaven and earth.

16 The highest heavens belong to the Lord,
    but the earth he has given to mankind.
17 It is not the dead who praise the Lord,
    those who go down to the place of silence;
18 it is we who extol the Lord,
    both now and forevermore.

Praise the Lord.[a]

God is the help and shield to those who trust in him. Therefore, it is wisdom to trust in the living God. The Lord is to be praised: his goodness is large, for he has given the earth to His people and their children to be their inheritance. 


JUMANNE TAREHE 28 JANUARY 2020  ASUBUHI                                   

ZABURI 115:11-18

11 Enyi mmchao Bwana, mtumainini Bwana; Yeye ni msaada wao na ngao yao.
12 Bwana ametukumbuka, Naye atatubariki sisi. Ataubariki mlango wa Israeli, Ataubariki mlango wa Haruni,
13 Atawabariki wamchao Bwana, Wadogo kwa wakubwa.
14 Bwana na awaongeze ninyi, Ninyi na watoto wenu.
15 Na mbarikiwe ninyi na Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
16 Mbingu ni mbingu za Bwana, Bali nchi amewapa wanadamu.
17 Sio wafu wamsifuo Bwana, Wala wo wote washukao kwenye kimya;
18 Bali sisi tutamhimidi Bwana, Tangu leo na hata milele.

Mungu ni msaada na ngao kwa wale wanaomtumaini. Kwa hiyo, ni hekima kuweka tumaini kwa Mungu aliye hai. Mungu ni wa kusifiwa, wema wake ni mkuu, kwa kuwa amewapa watu wake pamoja na watoto wao dunia hii kuwa urithi wao.