Date: 
13-09-2017
Reading: 
Philippians 2:14-18 NIV (Wafilipi 2:14-18)

WEDNESDAY 13TH SEPTEMBER 2017

Philippians 2:14-18  New International Version (NIV)

14 Do everything without grumbling or arguing, 15 so that you may become blameless and pure, “children of God without fault in a warped and crooked generation.”[a] Then you will shine among them like stars in the sky 16 as you hold firmly to the word of life. And then I will be able to boast on the day of Christ that I did not run or labour in vain. 17 But even if I am being poured out like a drink offering on the sacrifice and service coming from your faith, I am glad and rejoice with all of you. 18 So you too should be glad and rejoice with me.

Footnotes:

  1. Philippians 2:15 Deut. 32:5

 

JUMATANO TAREHE 13 SEPTEMBA 2017

Wafilipi 2:14-18

14Yatendeni mambo yote pasipo manung'uniko wala mashindano, 15 mpate kuwa wana wa Mungu wasio na lawama, wala udanganyifu, wasio na hila kati ya kizazi chenye ukaidi, kilichopotoka; ambao kati ya hao mnaonekana kuwa kama mianga katika ulimwengu,16mkishika neno la uzima; nipate sababu ya kuona fahari katika siku ya Kristo, ya kuwa sikupiga mbio bure wala sikujitaabisha bure. 17 Naam, hata nikimiminwa juu ya dhabihu na ibada ya imani yenu, nafurahi; tena nafurahi pamoja nanyi nyote.
18 Nanyi vivyo hivyo furahini, tena furahini pamoja nami.