Semina iliongozwa na kichwa toka Zaburi 11:3  "Kama misingi ikiharibika, mwenye haki afanye nini?" Kila soma lilifuatiwa na maombi ya kutumia mbinu za kupambana na misingi ya uharibifu iliyowekwa sehemu mbalimbali za maisha ya watu wa Mungu.  Kwa mawasiliano jinsi ya kupata masomo yote: Email: mwalimuge@gmail.com   Simu: +255 688 421 000, +255 758 914 023