Uzinduzi wa Albam ya 2 ya kwaya ya Upendo iitwayo "Tembea Nuruni" uliofanyika Jumapili tarehe 3 May 2015 usharikani Azaniafront. Baadae siku hiyo kwaya ilifanya tamasha kwenye ukumbi wa makubusho ya Taifa na kuhudhuriwa na kwaya zote wa usharika, na kwaya zilizoalikwa za TM, Sayuni, Wakina Baba wa Makongo, mumbaji Angela Makongo. Pia walezi wa kwaya walishiriki na baadhi ya washarika. Mgeni rasmi alikuwa waziri wa Michezo Mh. Dk. Fenella Mkanga. |
Angela Magoti akiimba katika uzinduzi wa Albamu ya upendo
Baadhi ya wanakwaya wa kwaya kuu walioshiriki uzinduzi wa Albamu ya Kwaya ya upendo
Baadhi ya wanakwaya wakiimba kwa furaha
Gospel Flams wakiimba katika uzinduzi wa albamu ya upendo
Kwaya kuu wakiimba katika uzindizi wa albamu ya upendo
Kwaya ya Agape wakiimba katika uzinduzi
Kwaya ya Agape wakishiriki Uzinduzi
Kwaya ya kinababa usharika wa makongo wakiimba katika uzinduzi
Kwaya ya sayuni usharika wa kinondoni wakiimba
Kwaya ya TM wakiimba kataika kuisindikiza kwaya ya upendo katika uzinduziÂÂÂÂ
Kwaya ya upendo wakiimba pamoja na kwaya ya TM
Kwaya ya upendo wakiwa nje ya kanisa wakiwa na mchungaji Mzinga na Mwalimu Tumaini
Kwaya ya vijana wakiimba katika uzinduzi wa albamu ya upendo
Kwaya ya wababa wa usharika wa makongo
Mchungaji Charles Mzinga akizindua albam ya Upendo
Mchungaji mzinga akiwa na Mlezi wa kwaya Mama Anna Mkapa, Mama Erica Malasusa na baadhi ya wanakwaya na wenzi wao
Mchungaji Mzinga akiwa nje ya kanisa na kwaya ya upendo
Mgeni rasmi Mh. Dr Fenela Mkandala atoa salamu na kuzindua albamu
Mh. Dr mkandala akiwa na mchungaji mama Chuwa
Mh. Dr mkandala akiwa na mchungaji Mzinga na Mchungaji Chuwa
Mh.Dr mkandala na Mchungaji Mzinga wakiteta jambo
Mlezi wa kwaya ya Upendo mzee Buchana Gandi akisoma taarifa ya kwaya ya upendo
Mwenyekiti wa kwaya ya uoendo bwana Lwatuu akitoa taarifa ya kwaya ya upendo
Mwenyekiti wa kwaya ya upendo akisoma risala mbele ya mgeni rasmi siku ya uzinduzi
Picha na habari na Jane Mhina