Date: 
21-11-2016
Reading: 
Mon 21st Nov, Isaiah 52:1-6

MONDAY 21ST NOVEMBER 2016 MORNING                      

Isaiah 52:1-6  New International Version (NIV)

1 Awake, awake, Zion,
    clothe yourself with strength!
Put on your garments of splendor,

    Jerusalem, the holy city.
The uncircumcised and defiled

    will not enter you again.
Shake off your dust;
    rise up, sit enthroned, Jerusalem.
Free yourself from the chains on your neck,

    Daughter Zion, now a captive.

For this is what the Lord says:

“You were sold for nothing,
    and without money you will be redeemed.”

For this is what the Sovereign Lord says:

“At first my people went down to Egypt to live;
    lately, Assyria has oppressed them.

“And now what do I have here?” declares the Lord.

“For my people have been taken away for nothing,
    and those who rule them mock,[a]
declares the Lord.
“And all day long

    my name is constantly blasphemed.
Therefore my people will know my name;
    therefore in that day they will know
that it is I who foretold it.

    Yes, it is I.”

Footnotes:

  1. Isaiah 52:5 Dead Sea Scrolls and Vulgate; Masoretic Text wail

Jerusalem is where God’s temple was built. It was the centre of Jewish worship of Jehovah. Jerusalem is also used symbolically to speak of heaven, as we read yesterday in Revelation 21:2.

Worship God on earth and prepare yourself to worship God in heaven.

JUMATATU TAREHE 21 NOVEMBA 2016 ASUBUHI      ISAYA 52:1-6

Isaya 52:1-6

1 Amka, amka, jivike nguvu zako, Ee Sayuni; Jivike mavazi yako mazuri, Ee Yerusalemu, mji mtakatifu; Kwa maana tokea sasa hataingia ndani yako Asiyetahiriwa, wala aliye najisi. 
2 Jikung'ute mavumbi; uondoke, Uketi, Ee Yerusalemu; Jifungulie vifungo vya shingo yako, Ee binti Sayuni uliyefungwa. 
3 Maana Bwana asema hivi, Mliuzwa bure; nanyi mtakombolewa bila fedha. 
4 Maana Bwana MUNGU asema hivi, Watu wangu hapo kwanza walishuka Misri ili wakae huko hali ya ugeni; na Mwashuri akawaonea bila sababu. 
5 Basi sasa, nafanya nini hapa, asema Bwana, ikiwa watu wangu wamechukuliwa bure? Hao wanaowatawala wanapiga yowe, asema Bwana, na jina langu linatukanwa daima mchana kutwa. 
6 Kwa hiyo watu wangu watalijua jina langu kwa hiyo watajua siku ile ya kuwa mimi ndimi ninenaye; tazama ni mimi. 
 

Tunasoma mengi katika Biblia kuhusu Yerusalemu. Ni Mji mkuu wa Israeli. Ni Mahali patakatifu. Ni mahali lilipokuwepo Hekalu la Mungu.  Pia ni mfano wa Mbinguni kama tunasoma katika Ufunuo 21:2.

Jitahidi kuishi maisha matakatifu hapa duniani na kumabudu Mungu ili ufika mbinguni kumsifu Mungu milele.