Date: 
24-06-2019
Reading: 
Matthew 6:19-21

MONDAY 24TH JUNE 2019 MORNING                                          

Matthew 6:19-21 New International Version (NIV)

Treasures in Heaven

19 “Do not store up for yourselves treasures on earth, where moths and vermin destroy, and where thieves break in and steal. 20 But store up for yourselves treasures in heaven, where moths and vermin do not destroy, and where thieves do not break in and steal. 21 For where your treasure is, there your heart will be also.

There are many warnings in the Bible about our attitude to money. It is not wrong to be rich but we need to think carefully about how we earn money and how we spend it. What are our priorities in life? Let us live our lives to please God and to be a blessing to other people. Let us live our lives in the light of eternity. Remember that we cannot take our money and possessions with us when we die.   


JUMATATU TAREHE 24 JUNI 2019 ASUBUHI                                

MATHAYO 6:19-21

19 Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba; 
20 bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi; 
21 kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako. 
 
Biblia inamafundisho mengi kuhusu matumizi ya fedha na mali. Siyo vibaya kuwa tajiri. Lakini tunapaswa kutafakari kuhusu njia za kupata na kutumia fedha. Kipaumbele katika maisha yetu ni nini? Tuishi maisha yenye mtazamo wa milele. Tuishi  maisha ya kumpendeza Mungu na kubariki watu. Kumbuka hatuwezi kwenda na fedha zetu mbinguni.