Date: 
28-10-2019
Reading: 
Matthew 5:13

MONDAY 28TH OCTOBER 2019 MORNING            

Matthew 5:13 New International Version (NIV)

13 “You are the salt of the earth. But if the salt loses its saltiness, how can it be made salty again? It is no longer good for anything, except to be thrown out and trampled underfoot.

Christians have a responsibility of not only pointing out sin, but practically offering healing and help. By exercising our influence we can prevent the destruction of disease and death caused by sin.


JUMATATU TAREHE 28 OKTOBA 2019 ASUBUHI          

MATHAYO 5:13

13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.

Wakristo wanao wajibu, siyo tu wa kukemea dhambi, bali kuponya na kusaidia. Tukisimama katika nafasi zetu tunaweza kuiponya dunia dhidi ya uharibifu wa magonjwa na kifo unaosababishwa na dhambi.