Date: 
08-03-2017
Reading: 
Matthew 4:1-11 (NIV)

 WEDNESDAY 8TH MARCH 2017     MORNING                                     

Matthew 4:1-11 New International Version (NIV)

Jesus Is Tested in the Wilderness

1 Then Jesus was led by the Spirit into the wilderness to be tempted[a]by the devil. After fasting forty days and forty nights, he was hungry.The tempter came to him and said, “If you are the Son of God, tell these stones to become bread.”

Jesus answered, “It is written: ‘Man shall not live on bread alone, but on every word that comes from the mouth of God.’[b]

Then the devil took him to the holy city and had him stand on the highest point of the temple. “If you are the Son of God,” he said, “throw yourself down. For it is written:

“‘He will command his angels concerning you,
    and they will lift you up in their hands,
    so that you will not strike your foot against a stone.’[c]

Jesus answered him, “It is also written: ‘Do not put the Lord your God to the test.’[d]

Again, the devil took him to a very high mountain and showed him all the kingdoms of the world and their splendor. “All this I will give you,” he said, “if you will bow down and worship me.”

10 Jesus said to him, “Away from me, Satan! For it is written: ‘Worship the Lord your God, and serve him only.’[e]

11 Then the devil left him, and angels came and attended him.

Footnotes:

  1. Matthew 4:1 The Greek for tempted can also mean tested.
  2. Matthew 4:4 Deut. 8:3
  3. Matthew 4:6 Psalm 91:11,12
  4. Matthew 4:7 Deut. 6:16
  5. Matthew 4:10 Deut. 6:13

Every time Jesus was tempted by Satan He replied by using God’s Word. We need to study God’s Word daily and memorize important Scriptures so that we can be strong to fight against Satan and overcome temptation.

JUMATANO TAREHE 8 MACHI 2017 ASUBUHI                                

MATHAYO 4:1-11

1 Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi. 
2 Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa. 
3 Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate. 
4 Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu. 
5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu, 
6 akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe. 
7 Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako. 
8 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, 
9 akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia. 
10 Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake. 
11 Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia. 
 

Kila wakati wakati Yesu alipojaribiwa na shetani, alijibu kwa kutumia Neno la Mungu. Neno la Mungu ni silaha ya kipigana na Shetani. Tusome sana Biblia na tuweke mistari muhimu moyoni ili tuweze kushinda majaribu.