Date: 
01-08-2020
Reading: 
Matthew 19:23-26

SATURDAY 1ST AUGUST 2020   MORNING                                              

Matthew 19:23-26 New International Version (NIV)

23 Then Jesus said to his disciples, “Truly I tell you, it is hard for someone who is rich to enter the kingdom of heaven. 24 Again I tell you, it is easier for a camel to go through the eye of a needle than for someone who is rich to enter the kingdom of God.”

25 When the disciples heard this, they were greatly astonished and asked, “Who then can be saved?”

26 Jesus looked at them and said, “With man this is impossible, but with God all things are possible.”

We need to trust in Jesus Christ for eternal life, and let go of those things that we have loved more than Him. As Christians, we should know that only the Lord Jesus can lead the way to eternal life. Let us serve and trust our God for whom all things are possible.


JUMAMOSI TAREHE 1 AGOSTI 2020  ASUBUHI                               

MATHAYO 19:23-26

23 Yesu akawaambia wanafunzi wake, Amin, nawaambieni, ya kwamba itakuwa shida tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.
24 Nawaambia tena, Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu ya sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
25 Wanafunzi waliposikia, walishangaa mno, wakisema, Ni nani basi awezaye kuokoka?
26 Yesu akawakazia macho, akawaambia, Kwa wanadamu hilo haliwezekani; bali kwa Mungu yote yawezekana.

Tunapaswa kumwamini Yesu Kristo ili tuweze kuurithi uzima wa milele, na kuacha vile vitu tulivyopenda kuliko Yeye. Sisi Wakristo tunahitaji kufahamu kwamba, ni Bwana Yesu pekee ndiye awezaye kutuonesha njia ya uzima wa milele. Basi, tumtumikie na kumwamini Mungu wetu ambaye kwake yote yanawezekana.