Date: 
30-06-2017
Reading: 
Matthew 13:24-30 NIV {Mathayo 13:24-30}

FRIDAY  30TH JUNE 2017 MORNING                                

Matthew 13:24-30  New International Version (NIV)

The Parable of the Weeds

24 Jesus told them another parable: “The kingdom of heaven is like a man who sowed good seed in his field. 25 But while everyone was sleeping, his enemy came and sowed weeds among the wheat, and went away. 26 When the wheat sprouted and formed heads, then the weeds also appeared.

27 “The owner’s servants came to him and said, ‘Sir, didn’t you sow good seed in your field? Where then did the weeds come from?’

28 “‘An enemy did this,’ he replied.

“The servants asked him, ‘Do you want us to go and pull them up?’

29 “‘No,’ he answered, ‘because while you are pulling the weeds, you may uproot the wheat with them. 30 Let both grow together until the harvest. At that time I will tell the harvesters: First collect the weeds and tie them in bundles to be burned; then gather the wheat and bring it into my barn.’”

In this world and even in the church we Christians live alongside others who are not committed Christians. Sometimes it is difficult to tell which is which. Some people look good on the outside while on the inside they have evil thoughts. Only Christ knows who belongs to Him. It is not for us to judge.

One day Jesus will return to judge all people. Let us be ready for that day. Let us examine our beliefs and behavior to see if we are faithful  

IJUMAA TAREHE 30 JUNI 2017  ASUBUHI                             

MATHAYO 13:24-30

24 Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake; 
25 lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake. 
26 Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu. 
27 Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu? 
28 Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye? 
29 Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing'oa ngano pamoja nayo. 
30 Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu. 

Katika dunia Wakristo tunaishi na watu ambao wasio na imani. Wengine hata wanasali kanisani lakini siyo Wakristo wa kweli na hawaishi kwenye maadili ya Kikristo. Mungu tu anajua waliowake. Siyo jukumu letu kuhukumu wengine.

Tukumbuke Yesu Kristo atakuja siku mmoja atakuja kuhukumu watu wote. Tujiandae.