Date: 
09-09-2020
Reading: 
Matthew 12:46-50

WEDNESDAY 9TH SEPTEMBER 2020  MORNING                                       

Matthew 12:46-50  New International Version (NIV)

46 While Jesus was still talking to the crowd, his mother and brothers stood outside, wanting to speak to him. 47 Someone told him, “Your mother and brothers are standing outside, wanting to speak to you.”

48 He replied to him, “Who is my mother, and who are my brothers?” 49 Pointing to his disciples, he said, “Here are my mother and my brothers. 50 For whoever does the will of my Father in heaven is my brother and sister and mother.”

God is calling us to the privilege of opening the doors of our lives to each other, to welcoming each other as family. In the kingdom of God, our spiritual family has become more important than our physical family.


JUMATANO TAREHE 9 SEPTEMBA 2020  ASUBUHI                                 

MATHAYO 12:46-50

46 Alipokuwa katika kusema na makutano, tazama, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wataka kusema naye.
47 Mtu mmoja akamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kusema nawe.
48 Akajibu, akamwambia yule aliyempasha habari, Mama yangu ni nani? Na ndugu zangu ni akina nani?
49 Akawanyoshea mkono wanafunzi wake, akasema, Tazama, Mama yangu na ndugu zangu!
50 Kwa maana ye yote atakayeyafanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni, huyu ndiye ndugu yangu, na umbu langu, na mama yangu.

Mungu anatupa nafasi ya kufungua milango ya maisha yetu, na kukaribishana kama familia moja. Katika Ufalme wa Mungu, familia ya Kiroho imekuwa muhimu zaidi ya familia yetu ya kimwili.