Date: 
06-10-2018
Reading: 
Mathew 18:10-14

SATURDAY 6TH OCTOBER 2018 MORNING MATTHEW 18:10-14

Matthew 18:10-14 New International Version (NIV)

The Parable of the Wandering Sheep

10 “See that you do not despise one of these little ones. For I tell you that their angels in heaven always see the face of my Father in heaven.[11] [a]

12 “What do you think? If a man owns a hundred sheep, and one of them wanders away, will he not leave the ninety-nine on the hills and go to look for the one that wandered off? 13 And if he finds it, truly I tell you, he is happier about that one sheep than about the ninety-nine that did not wander off. 14 In the same way your Father in heaven is not willing that any of these little ones should perish.

Footnotes:

Matthew 18:11 Some manuscripts include here the words of Luke 19:10.

Every person is precious to God. Every child is important. Let us care for our own children and others. Let us be concerned with how to help orphans and street children and all those in need. Let us be concerned about the disabled and the disadvantaged. Let us welcome people to the church and lead them to faith in Christ.  

JUMAMOSI TAREHE 6 OKTOBA 2018 ASUBUHI MATHAYO 18:10-14

Mathayo 18:10-14

 

10 Angalieni msidharau mmojawapo wadogo hawa; kwa maana nawaambia ya kwamba malaika wao mbinguni siku zote huutazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni. 

11 [Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja kukiokoa kilichopotea.] 

12 Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je! Hawaachi wale tisa na tisini, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea? 

13 Hata akipata kumwona, amin, nawaambia, amfurahia huyo zaidi, kuliko wale tisa na tisini wasiopotea. 

14 Vivyo hivyo haipendezi mbele za Baba yenu aliye mbinguni kwamba mmoja wa wadogo wapotee.

Kila mtu ni muhimu. Kila mtoto ana thamini mbele ya Mungu. Tuwatunza vizuri na watoto wa wengine. Sisi kama Wakristo tunapaswa kujali wahitaji. Tunapaswa kujali watoto yatima na watoto walemavu. Tujali kila mtu na kuwakaribisha kanisani na kwenye Ufalme wa Mungu