Date: 
23-06-2021
Reading: 
Mathew 12:30

WEDNESDAY 23RD JUNE 2021   MORNING                                   

Mathew 12:30 New International Version (NIV)

30 “Whoever is not with me is against me, and whoever does not gather with me scatters.

Jesus says, there are no neutral hearts to those who are in Him.  Are we truly with Jesus? If not, we are against Him. Jesus must be supreme in our lives. He should be above our reputations, above all other relationships, above all that we have, even above life itself.


JUMATANO TAREHE 23 JUNE 202I   ASUBUHI                            

MATHAYO 12:30

30 Mtu asiye pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutapanya.

Yesu anasema kuwa, hakuna mioyo iliyo vuguvugu kwa wale walio ndani yake. Je, tuko pamoja na Yesu? Ikiwa sivyo, basi tuko kinyume naye. Yesu ndiye pekee aliye mkuu katika maisha yetu. Yeye anahitaji kuwa juu ya sifa tulizo nazo, juu ya mahusiano mengine tuliyo nayo, juu ya vyote tunavyomiliki, naye ni mkuu hata juu ya maisha yetu.