Date: 
17-01-2020
Reading: 
Mark 1:8-11

FRIDAY 17TH JANUARY 2020  MORNING                                                        

Mark 1:8-11 New International Version (NIV)

I baptize you with[e] water, but he will baptize you with[f] the Holy Spirit.”

At that time Jesus came from Nazareth in Galilee and was baptized by John in the Jordan. 10 Just as Jesus was coming up out of the water, he saw heaven being torn open and the Spirit descending on him like a dove. 11 And a voice came from heaven: “You are my Son, whom I love; with you I am well pleased.”

Jesus is the Son of God. He is the truth; and that truth is the foundation on which the gospel is built.  Therefore, if Jesus was not the Son of God, our faith is vain.


IJUMAA TAREHE 17 JANUARI 2020  ASUBUHI                                                 

MARKO 1:8-11

Mimi niliwabatiza kwa maji; bali yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu.
Ikawa siku zile, Yesu alikuja kutoka Nazareti ya Galilaya, akabatizwa na Yohana katika Yordani.
10 Mara alipopanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kama hua, akishuka juu yake;
11 na sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwanangu, mpendwa wangu; nimependezwa nawe.

Yesu ni mwana wa Mungu. Yeye ndiye kweli; na hiyo kweli ndiyo msingi wa Habari njema. Hivyo basi, kama Yesu asingalikuwa Mwana wa Mungu, imani yetu ni bure.