Date: 
05-08-2020
Reading: 
Mark 1:40-45

WEDNESDAY 5TH AUGUST 2020  MORNING                                        

Mark 1:40-45 New International Version (NIV)

40 A man with leprosy[h] came to him and begged him on his knees, “If you are willing, you can make me clean.”

41 Jesus was indignant.[i] He reached out his hand and touched the man. “I am willing,” he said. “Be clean!” 42 Immediately the leprosy left him and he was cleansed.

43 Jesus sent him away at once with a strong warning: 44 “See that you don’t tell this to anyone. But go, show yourself to the priest and offer the sacrifices that Moses commanded for your cleansing, as a testimony to them.” 45 Instead he went out and began to talk freely, spreading the news. As a result, Jesus could no longer enter a town openly but stayed outside in lonely places. Yet the people still came to him from everywhere.

The good news of the kingdom of God is open to all who would come humbly before Him and say “Lord, if you will, make me clean”. To all who would heed his message to repent, and believe, no one is too dirty or too unworthy to come before Jesus Christ.


JUMATANO TAREHE 5 AGOSTI 2020  ASUBUHI                   

MARKO 1:40-45

40 Akaja kwake mtu mwenye ukoma, akamsihi na kumpigia magoti, na kumwambia, Ukitaka, waweza kunitakasa.
41 Naye akamhurumia, akanyosha mkono wake, akamgusa, akamwambia, Nataka, takasika.
42 Na mara ukoma wake ukamtoka, akatakasika.
43 Akamkataza kwa nguvu, akamwondoa mara,
44 akamwambia, Angalia, usimwambie mtu neno lolote, ila enenda zako ukajionyeshe kwa kuhani, ukatoe alivyoamuru Musa kwa kutakasika kwako, iwe ushuhuda kwao.
45 Lakini akatoka, akaanza kuhubiri maneno mengi, na kulitangaza lile neno, hata Yesu asiweze tena kuingia mjini kwa wazi; bali alikuwako nje mahali pasipokuwa na watu, wakamwendea kutoka kila mahali.

Habari njema za Ufalme wa Mbinguni ziko wazi kwa kila mtu awezaye kuja kwa unyenyekevu mbele za Mungu na kusema, “Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa”. Kwa kila asikiaye habari ya toba, na kuamini; hakuna aliye mchafu au asiyefaa kuja mbele zake Yesu Kristo.