Date: 
21-11-2017
Reading: 
Mark 13:24-32 NIV (Marko 13:24-32)

TUESDAY 21ST NOVEMBER 2015

Mark 13:24-32  New International Version (NIV)

24 “But in those days, following that distress,

“‘the sun will be darkened,
    and the moon will not give its light;
25 the stars will fall from the sky,
    and the heavenly bodies will be shaken.’[a]

26 “At that time people will see the Son of Man coming in clouds with great power and glory. 27 And he will send his angels and gather his elect from the four winds, from the ends of the earth to the ends of the heavens.

28 “Now learn this lesson from the fig tree: As soon as its twigs get tender and its leaves come out, you know that summer is near. 29 Even so, when you see these things happening, you know that it[b] is near, right at the door. 30 Truly I tell you, this generation will certainly not pass away until all these things have happened. 31 Heaven and earth will pass away, but my words will never pass away.

The Day and Hour Unknown

32 “But about that day or hour no one knows, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.

Footnotes:

  1. Mark 13:25 Isaiah 13:10; 34:4
  2. Mark 13:29 Or he

Nobody knows the time or the hour that Jesus will return for the second time, to judge the world. Therefore as Christians' we must be prepared all the time, to receive the Lord in good standing by abiding in God's laws and in prayer.

JUMMANE TAREHE 21 NOVEMBA 2017

MARKO 13:24-32

Kuja Kwa Mwana Wa Adamu

24 “Siku hizo, baada ya hiyo dhiki, jua litatiwa giza na mwezi hautatoa mwanga wake. 25 Nyota zitaanguka kutoka mbinguni na nguvu za anga zitatikisika. 26 Ndipo watu wote wataniona mimi Mwana wa Adamu nikija katika mawingu kwa nguvu nyingi na utu kufu. 27 Nami nitawatuma malaika wawakusanye watu wangu kutoka pande zote nne za dunia, kutoka mwisho wa nchi hadi mwisho wa mbi ngu.

28 “Sasa jifunzeni jambo hili kutoka kwa mtini: mwonapo matawi ya mtini yakianza kulainika na kutoa majani, mnatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia. 29 Hali kadhalika mtaka poyaona mambo haya yanatokea, tambueni kwamba mimi Mwana wa Adamu, ni karibu kuja. 30 Ninawaambieni hakika, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo haya kutokea. 31 Mbingu na nchi zita toweka, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.”

Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa

32 “Hakuna ajuaye siku hiyo itakuwa lini au saa ngapi; hata malaika mbinguni hawajui wala mimi Mwana sijui, isipokuwa Mungu Baba peke yake.

Hakuna ajuwaye siku wala saa atakayorudi Yesu kwa mara ya pili, kuhukumu ulimwengu. Hivyo wakristo tunatakiwa kuwa tayari wakati wote kumlaki Bwana Yesu kwa hukumu nzuri. Tuishi maisha ya kumpendeza Bwana kwa kuzishika amri zake na kudumu katika sala.