Date: 
30-01-2017
Reading: 
Mark 1:21-28 New International Version (NIV)

MONDAY 30TH JANUARY 2017  MORNING                                     

Mark 1:21-28  New International Version (NIV)

Jesus Drives Out an Impure Spirit

21 They went to Capernaum, and when the Sabbath came, Jesus went into the synagogue and began to teach. 22 The people were amazed at his teaching, because he taught them as one who had authority, not as the teachers of the law. 23 Just then a man in their synagogue who was possessed by an impure spirit cried out, 24 “What do you want with us, Jesus of Nazareth? Have you come to destroy us? I know who you are—the Holy One of God!”

25 “Be quiet!” said Jesus sternly. “Come out of him!” 26 The impure spirit shook the man violently and came out of him with a shriek.

27 The people were all so amazed that they asked each other, “What is this? A new teaching—and with authority! He even gives orders to impure spirits and they obey him.” 28 News about him spread quickly over the whole region of Galilee.

Jesus is God. He taught with authority which amazed the people. Then He did something which surprised them even more. Jesus cast out the evil spirit from the man.

Let us give Jesus full authority in our lives. Invite Jesus to rule in your heart and He will cast out all that is evil. 

JUMATATU TAREHE 30 JANUARI 2017 ASUBUHI                             

MARKO 1:21-28

21 Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha. 
22 Wakashangaa mno kwa mafundisho yake; kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye amri, wala si kama waandishi. 
23 Na mara palikuwapo ndani ya sinagogi lao mtu mwenye pepo mchafu; akapaza sauti, 
24 akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza? 
25 Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa, umtoke. 
26 Yule pepo mchafu akamtia kifafa, akalia kwa sauti kuu, akamtoka. 
27 Wakashangaa wote, hata wakaulizana, wakisema, Nini hii? Ni elimu mpya! Maana kwa uweza awaamuru hata pepo wachafu, nao wamtii! 
28 Habari zake zikaenea mara kotekote katika nchi zote kandokando ya Galilaya. 
 

Yesu ni Mungu, ni mwenye mamlaka yote. Yesu alifundisha Neno la Mungu kwa Mamlaka. Watu walishangaa. Walishangaa tena zaidi wakati Yesu alipotoa pepo mchafu.

Mpe Yesu mamlaka yote katika maisha yako. Mkaribishe Yesu kutawala moyo yako na atafukuza uchafu wote.