Date: 
20-04-2020
Reading: 
Luke 24:36-43

MONDAY 20TH APRIL 2020  MORNING                                                         

Luke 24:36-43 New International Version (NIV)

36 While they were still talking about this, Jesus himself stood among them and said to them, “Peace be with you.”

37 They were startled and frightened, thinking they saw a ghost. 38 He said to them, “Why are you troubled, and why do doubts rise in your minds? 39 Look at my hands and my feet. It is I myself! Touch me and see; a ghost does not have flesh and bones, as you see I have.”

40 When he had said this, he showed them his hands and feet. 41 And while they still did not believe it because of joy and amazement, he asked them, “Do you have anything here to eat?” 42 They gave him a piece of broiled fish, 43 and he took it and ate it in their presence.

Death of Jesus Christ brought sorrow and discouragement to His disciples. The Resurrection took time to sink into their minds; and joy surprised them.  

Today, if you are discouraged, or doubting, or grieving, yet you may still experience joy. This joy is a gift that comes from God, and it comes in the midst of all the other human emotions.


JUMATATU TAREHE 20 APRILI 2020  ASUBUHI                                             

LUKA 24:36-43

36 Na walipokuwa katika kusema habari hiyo, yeye mwenyewe alisimama katikati yao, akawaambia, Amani iwe kwenu.
37 Wakashituka, wakaogopa sana, wakidhani ya kwamba wanaona roho.
38 Akawaambia, Mbona mnafadhaika? Na kwa nini mnaona shaka mioyoni mwenu?
39 Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo.
40 Na baada ya kusema hayo aliwaonyesha mikono yake na miguu yake.
41 Basi walipokuwa hawajaamini kwa furaha, huku wakistaajabu, aliwaambia, Mna chakula cho chote hapa?
42 Wakampa kipande cha samaki wa kuokwa.
43 Akakitwaa, akala mbele yao.

Kifo cha Yesu Kristo kilileta huzuni na kuwakatisha tamaa wanafunzi wake. Iliwachukua muda wanafunzi wake kuamini kuwa alifufuka; na furaha yake iliwashangaza sana.

Leo hii, ikiwa umekata tamaa, au una mashaka ama huzuni, bado unaweza kuona raha nafsini mwako. Hii ni zawadi itokayo kwa Mungu wetu, na inakuja katikati ya mambo mengi yanayomzunguka mwanadamu.