Date: 
14-12-2019
Reading: 
Luke 17:7-8

SATURDAY 14TH DECEMBER 2019  MORNING                       
Luke 18:7-8 New International Version (NIV)

7 And will not God bring about justice for his chosen ones, who cry out to him day and night? Will he keep putting them off? 8 I tell you, he will see that they get justice, and quickly. However, when the Son of Man comes, will he find faith on the earth?”

Jesus is looking for those who completely trust Him as God, and based on that trust, are living by faith according to God's revealed truth, despite all pressures from the world.


JUMAMOSI TAREHE 14 DESEMBA 2019  ASUBUHI        LUKA 18:7-8

7 Na Mungu, je! Hatawapatia haki wateule wake wanaomlilia mchana na usiku, naye ni mvumilivu kwao?
8 Nawaambia, atawapatia haki upesi; walakini, atakapokuja Mwana wa Adamu, je! Ataiona imani duniani?


Yesu anawatafuta wale wanaomtumaini yeye kama Mungu wao, na katika tumaini hilo, wanaishi kwa imani kutokana na kweli ya Mungu iliyofunuliwa kwao, licha ya masumbufu ya dunia hii.