Date: 
03-04-2017
Reading: 
Luke 12:54-59 (NIV)

MONDAY 3rd APRIL 2017 MORNING                                                       

Luke 12:54-59 New International Version (NIV)

Interpreting the Times

54 He said to the crowd: “When you see a cloud rising in the west, immediately you say, ‘It’s going to rain,’ and it does. 55 And when the south wind blows, you say, ‘It’s going to be hot,’ and it is. 56 Hypocrites! You know how to interpret the appearance of the earth and the sky. How is it that you don’t know how to interpret this present time?

57 “Why don’t you judge for yourselves what is right? 58 As you are going with your adversary to the magistrate, try hard to be reconciled on the way, or your adversary may drag you off to the judge, and the judge turn you over to the officer, and the officer throw you into prison. 59 I tell you, you will not get out until you have paid the last penny.”

It is good to be reconciled with other people. Let us seek to be peacemakers. Let us seek to settle disputes with other people. Let us try to live at peace with all people.

JUMATATU TAREHE 3 APRILI 2017 ASUBUHI                    

LUKA 12:54-59

54 Akawaambia makutano pia, Kila mwonapo wingu likizuka pande za magharibi mara husema, Mvua inakuja; ikawa hivyo. 
55 Na kila ivumapo kaskazi, husema, Kutakuwa na joto; na ndivyo ilivyo. 
56 Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa nchi na mbingu; imekuwaje, basi, kuwa hamjui kutambua majira haya? 
57 Na mbona ninyi wenyewe kwa nafsi zenu hamwamui yaliyo haki? 
58 Maana, unapofuatana na mshitaki wako kwenda kwa mwamuzi, hapo njiani fanya bidii kupatanishwa naye, asije akakuburuta mpaka mbele ya kadhi; yule kadhi akakutia mikononi mwake mwenye kulipiza, na yule mwenye kulipiza akakutupa gerezani. 
59 Nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho.

Ni heri kuwa mpatanishi. Ni  vema kutokuwa na uadui na mtu yeyote. Kama tumegombana na mtu, tujitahidi kupatana naye. Tuishi kwa amani na watu wote.