Date: 
16-05-2018
Reading: 
Luke 11:9-13

WEDNESDAY 16TH MAY 2018 MORNING                               

Luke 11:9-13 New International Version (NIV)

“So I say to you: Ask and it will be given to you; seek and you will find; knock and the door will be opened to you. 10 For everyone who asks receives; the one who seeks finds; and to the one who knocks, the door will be opened.

11 “Which of you fathers, if your son asks for[a] a fish, will give him a snake instead? 12 Or if he asks for an egg, will give him a scorpion? 13 If you then, though you are evil, know how to give good gifts to your children, how much more will your Father in heaven give the Holy Spirit to those who ask him!”

Footnotes:

  1. Luke 11:11 Some manuscripts for bread, will give him a stone? Or if he asks for

We continue to learn about prayer. God invites us to bring our needs to Him. God loves each one of us. He wants to best for us. God will give us the Holy Spirit to help and guide us and He will give us all that we need. Sometimes He says no or wait if that is the best answer for us. Let us trust in God. Let us persist in prayer.

JUMATANO TAREHE 16 MEI 2018 ASUBUHI         

LUKA 11:9-13

Nami nawaambia, Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa. 
10 Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. 
11 Maana ni yupi kwenu aliye baba, ambaye mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe au samaki, badala ya samaki atampa nyoka? 
12 Au akimwomba yai, atampa nge? 
13 Basi, ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Baba aliye mbinguni hatazidi sana kuwapa Roho Mtakatifu hao wamwombao? 

Tunaendelea kujifunza kuhusu maombi. Mungu anatupenda sana sisi sote. Mungu anatukaribisha kuleta mahitaji yetu mbele yake kwa maombi. Mungu anatujali. Ana ahidi kutupa Roho Mtakatifu wa kutuongoza. Mungu akijibu hapana au subiri ni kwa sababu ndiye mwenye jibu sahihi kwa wakati ule na mazingira husika. Tusikate tamaa. Tuvumilie katika maombi.