Date: 
07-08-2020
Reading: 
Luke 10:38-42

FRIDAY 7TH AUGUST 2020 MORNING                                                     

LUKE 10:38-42 New International Version (NIV)

38 As Jesus and his disciples were on their way, he came to a village where a woman named Martha opened her home to him. 39 She had a sister called Mary, who sat at the Lord’s feet listening to what he said. 40 But Martha was distracted by all the preparations that had to be made. She came to him and asked, “Lord, don’t you care that my sister has left me to do the work by myself? Tell her to help me!”

41 “Martha, Martha,” the Lord answered, “you are worried and upset about many things, 42 but few things are needed—or indeed only one.[f] Mary has chosen what is better, and it will not be taken away from her.”

The story of Mary shows us that devotion to God must be the foundation of all our service for Him. The word provides us with the very wisdom of God that we need for all of life’s decisions and direction.


IJUMAA TAREHE 7 AGOSTI 2020 ASUBUHI                                           

LUKA 10:38-42

38 Ikawa katika kuenenda kwao aliingia katika kijiji kimoja; mwanamke mmoja jina lake Martha akamkaribisha nyumbani kwake.
39 Naye alikuwa na umbu lake aitwaye Mariamu, aliyeketi miguuni pake Yesu, akasikiliza maneno yake.
40 Lakini Martha alikuwa akihangaika kwa utumishi mwingi; akamwendea, akasema, Bwana, huoni vibaya hivyo ndugu yangu alivyoniacha nitumike peke yangu? Basi mwambie anisaidie.
41 Bwana akajibu akamwambia, Martha, Martha, unasumbuka na kufadhaika kwa ajili ya vitu vingi;
42 lakini kinatakiwa kitu kimoja tu; na Mariamu amelichagua fungu lililo jema, ambalo hataondolewa.

Habari hii ya Martha na Mariamu inatuonesha kuwa, kujitoa kwa Mungu ndiyo msingi wa kumtumikia. Neno la Mungu linatuma hekima ile tunayohitaji kwa ajili ya kufanya maamuzi na kutupatia mwelekeo maishani mwetu.