Date: 
12-09-2017
Reading: 
Leviticus 25:35-38 NIV (Walawi 25:35 - 38 )

TUESDAY 12 September 2017

Leviticus 25:35-38

35 “‘If any of your fellow Israelites become poor and are unable to support themselves among you, help them as you would a foreigner and stranger, so they can continue to live among you. 36 Do not take interest or any profit from them, but fear your God, so that they may continue to live among you. 37 You must not lend them money at interest or sell them food at a profit. 38 I am the Lord your God, who brought you out of Egypt to give you the land of Canaan and to be your God.

 

JUMANNE TAREHE 12 SEPTEMBER

Walawi 25:35 - 38 

35 Na ikiwa ndugu yako amekuwa maskini, na mkono wake umelegea kwako, ndipo utamsaidia, atakaa nawe kama mgeni, na msafiri.
36 Usitake riba kwake wala faida, bali mche Mungu wako, ili ndugu yako akae nawe.
37 Usimpe fedha yako upate riba, wala usimpe vyakula vyako kwa kujitakia faida.
38 Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili niwape nchi ya Kanaani,    nipate kuwa Mungu wenu.