Date: 
29-04-2020
Reading: 
John 10:1-6 (Yohana 10:1-16)

WEDNESDAY 29TH APRIL 2020   MORNING                                                        

John 10:1-6 New International Version (NIV)

1“Very truly I tell you Pharisees, anyone who does not enter the sheep pen by the gate, but climbs in by some other way, is a thief and a robber. The one who enters by the gate is the shepherd of the sheep. The gatekeeper opens the gate for him, and the sheep listen to his voice. He calls his own sheep by name and leads them out. When he has brought out all his own, he goes on ahead of them, and his sheep follow him because they know his voice. But they will never follow a stranger; in fact, they will run away from him because they do not recognize a stranger’s voice.” Jesus used this figure of speech, but the Pharisees did not understand what he was telling them.

We as sheep are not good at looking after ourselves, so we need a shepherd. Our God is a caring Father, who knows each one’s name and needs. His care will bring us through all the disasters of life, even through death, into eternal life.


JUMATANO TAREHE 29 APRILI 2020   ASUBUHI                                           

YOHANA 10:1-6

1 Yesu aliwaambia, Amin, amin, nawaambieni, Yeye asiyeingia mlangoni katika zizi la kondoo, lakini akwea penginepo, huyo ni mwivi naye ni mnyang'anyi.
Aingiaye mlangoni ni mchungaji wa kondoo.
Bawabu humfungulia huyo, na kondoo humsikia sauti yake; naye huwaita kondoo wake kwa majina yao, na kuwapeleka nje.
Naye awatoapo nje kondoo wake wote, huwatangulia; na wale kondoo humfuata, kwa maana waijua sauti yake.
Mgeni hawatamfuata kabisa, bali watamkimbia; kwa maana hawazijui sauti za wageni.
Mithali hiyo Yesu aliwaambia, lakini wao hawakuelewa na mambo hayo aliyowaambia.

Sisi kama kondoo hatuwezi kujichunga wenyewe, hivyo tunahitaji mchungaji. Mungu wetu ni Baba anayetujali, ambaye anamjua kila mmoja wetu kwa jina lake na hitaji lake. Utunzani huu wa Mungu utatupitisha katika hatari zote za maisha, hata katika mauti; na kutufikisha kwenye uzima wa milele.