Date: 
10-11-2016
Reading: 
Joel 3:1-5 New International Version (NIV)

THURSDAY 10TH NOVEMBER 2016 MORNING                        

Joel 3:1-5  New International Version (NIV)

The Nations Judged

1 [a]“In those days and at that time,
    when I restore the fortunes of Judah and Jerusalem,
I will gather all nations
    and bring them down to the Valley of Jehoshaphat.[b]
There I will put them on trial
    for what they did to my inheritance, my people Israel,
because they scattered my people among the nations

    and divided up my land.
They cast lots for my people
    and traded boys for prostitutes;
    they sold girls for wine to drink.

“Now what have you against me, Tyre and Sidon and all you regions of Philistia? Are you repaying me for something I have done? If you are paying me back, I will swiftly and speedily return on your own heads what you have done. For you took my silver and my gold and carried off my finest treasures to your temples.[c]

Footnotes:

  1. Joel 3:1 In Hebrew texts 3:1-21 is numbered 4:1-21.
  2. Joel 3:2 Jehoshaphat means the Lord judges; also in verse 12.
  3. Joel 3:5 Or palaces

In many other prophesies God judges His own people the Jewish nation. But here speaking through the Prophet Joel God declares judgement on heathen nations who have oppressed His people.

Remember that God never ignores sin. God sees all that we do and hears every word we say and He even knows our thoughts. Repent of your sins and turn to God. Trust in Jesus Christ for salvation. You cannot make yourself holy by your own efforts.   

 

ALHAMISI TAREHE 10 NOVEMBA ASUBUHI                              

YOELI 3:1-5

1 Kwa maana, angalieni, siku zile, na wakati ule, nitakapowarudisha mateka wa Yuda na Yerusalemu, 
2 nitakusanya mataifa yote, nami nitawaleta chini katika bonde la Yehoshafau, na huko nitawahukumu kwa ajili ya watu wangu, na kwa ajili ya urithi wangu, Israeli, ambao wamewatawanya kati ya mataifa, na kuigawanya nchi yangu. 
3 Nao wamewapigia kura watu wangu; na mtoto mwanamume wamemtoa ili kupata kahaba, na mtoto mwanamke wamemwuza ili kupata divai, wapate kunywa. 
4 Naam, na ninyi ni kitu gani kwangu, enyi Tiro, na Sidoni, na nchi zote za Filisti? Je! Mtanirudishia malipo? Au mtanitenda neno lo lote? Upesi na kwa haraka nitawarudishia malipo yenu juu ya vichwa vyenu wenyewe. 
5 Kwa kuwa mmetwaa fedha yangu na dhahabu yangu, nanyi mmevichukua vitu vyangu vyema vipendezavyo, na kuviingiza katika hekalu zenu; 
 

Kupitia manabii wengi Mungu anawonya Waisraeli kwa makosa yao. Lakini kupitia nabii Yoeli Mungu anatagaza hukumu kwa maadui wa Israeli ambao waliwatesa watu wa Mungu, taifa teule la Israeli.

Kumbuka kwamba Mungu  hafumbii macho dhambi. Mungu anaona matendo yako yote na anasikia kila neno unalotamka. Pia Mungu anajua hata mawazo yetu. Tubu dhambi zako na umtegemee Yesu Kristo kama Mwokozi wako. Huwezi kujitakasa mwenyewe.