Date: 
07-06-2019
Reading: 
Jeremiah 31:7-9

FRIDAY  7TH JUNE 2019 MORNING                                              

Jeremiah 31:7-9 New International Version (NIV)

This is what the Lord says:

“Sing with joy for Jacob;
    shout for the foremost of the nations.
Make your praises heard, and say,
    ‘Lord, save your people,
    the remnant of Israel.’
See, I will bring them from the land of the north
    and gather them from the ends of the earth.
Among them will be the blind and the lame,
    expectant mothers and women in labor;
    a great throng will return.
They will come with weeping;
    they will pray as I bring them back.
I will lead them beside streams of water
    on a level path where they will not stumble,
because I am Israel’s father,
    and Ephraim is my firstborn son.

God promises to bring blessings and restoration to His people. He will give them joy. The people will praise God and pray to Him.

Think about all the blessings which you have received from God. Bring to God your prayers and praises and thank God for His precious promises to you. 


IJUMAA TAREHE 7 JUNI 2019 ASUBUHI                                        

YEREMIA 31:7-9

Maana Bwana asema hivi, Mwimbieni Yakobo kwa furaha, mkampigie kelele mkuu wa mataifa, tangazeni, sifuni, mkaseme, Ee Bwana, uwaokoe watu wako, mabaki ya Israeli. 
Tazama, nitawaleta toka nchi ya kaskazini, na kuwakusanya katika miisho ya dunia, na pamoja nao watakuja walio vipofu, na hao wachechemeao, mwanamke mwenye mimba, na yeye pia aliye na utungu wa kuzaa; watarudi huko, jeshi kubwa. 
Watakuja kwa kulia, na kwa maombi nitawaongoza; nitawaendesha penye mito ya maji, katika njia iliyonyoka; katika njia hiyo hawatajikwaa; maana mimi ni baba wa Israeli, na Efraimu ni mzaliwa wa kwanza wangu. 
 

Mungu aliahidi kurejesha watu wake na kuwabariki. Watu wanakuja mbele za Mungu kumsifu na katika sala.

Tutafakari baraka zote tumezipata kutoka Mungu. Tumsifu Mungu tusali na tumshukuru kwa ahadi nyingi njema ambazo anatuahidi.