Date: 
13-02-2017
Reading: 
Jeremiah 31:1-3 (NIV)

MONDAY 13TH FEBRUARY 2017 MORNING                                 

Jeremiah 31:1-3  New International Version (NIV)

1 “At that time,” declares the Lord, “I will be the God of all the families of Israel, and they will be my people.”

This is what the Lord says:

“The people who survive the sword
    will find favor in the wilderness;
    I will come to give rest to Israel.”

The Lord appeared to us in the past,[a] saying:

“I have loved you with an everlasting love;
    I have drawn you with unfailing kindness.

Footnotes:

  1. Jeremiah 31:3 Or Lord has appeared to us from afar
  2.  

These words are part of God’s message to the Jews in exile in Babylon. God promises that a time will come when He will restore them to their own country. God declares His love for His people.

Thank God that He loves you too and He has a good plan for your life.

JUMATATU TAREHE 13 FEBRUARI 2017 ASUBUHI                         

YEREMIA 31:1-3

1 Wakati huo, asema Bwana, nitakuwa Mungu wa jamaa zote za Israeli, nao watakuwa watu wangu. 
2 Bwana asema hivi, Watu wale walioachwa na upanga walipata neema jangwani; yaani, Israeli, hapo nilipokwenda kumstarehesha. 
3 Bwana alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu. 

Maneno haya juu ni sehemu ya maneno ya faraja ya Mungu kwa Wayahudi ambao walikuwa utumwani Babeli. Mungu aliwaahidi kwamba siku mmoja atawarudisha katika nchi yao. Mungu alisema anawapenda.

Mungu anakupenda, pia na ana mipango mizuri kwa maisha yako.