Date: 
08-11-2018
Reading: 
Isaiah 57:1-2

THURSDAY 8TH NOVEMBER 2018 MORNING               

Isaiah 57:1-2 New International Version (NIV)

1 The righteous perish,
    and no one takes it to heart;
the devout are taken away,

    and no one understands
that the righteous are taken away

    to be spared from evil.
Those who walk uprightly
    enter into peace;
    they find rest as they lie in death.

God knows what is in your heart. He knows if you are trusting Jesus Christ as your Lord and savior. God hears your kind words and see your generous actions. Even if no one praises and encourages you, don’t give up. God will reward you in His time and He will welcome you into heaven when you die.

ALHAMISI TAREHE 8 NOVEMBA 2018 ASUBUHI                   

ISAYA 57:1-2

1 Mwenye haki hupotea, wala hakuna atiaye hayo moyoni; na watu watauwa huondolewa, wala hakuna afikiriye ya kuwa mwenye haki ameondolewa asipatikane na mabaya. 
Yeye huingia katika amani; wao hustarehe katika vitanda vyao, kila mtu aendaye katika unyofu wake. 
 

Mungu anaona ndani ya moyo wako. Mungu anajua kama unamtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako. Mungu anasikia maneno yako mazuri wa kuwatia watu moyo anaona matendo yako ya huruma. Hata kama hamna mtu anakupongeza na kukutia moyo usikate tamaa. Endelea kutenda mema. Mungu anaona kila kitu na atakupongeza kwa wakati wake na kukaribisha mbinguni baada ya maisha haya ya duniani.