Date: 
24-11-2017
Reading: 
Isaiah 51:4-6 NIV (Isaya51:4-6)

FRIDAY 24TH NOVEMBER 2017

Isaiah 51:4-6  New International Version (NIV)

“Listen to me, my people;
    hear me, my nation:
Instruction will go out from me;
    my justice will become a light to the nations.
My righteousness draws near speedily,
    my salvation is on the way,
    and my arm will bring justice to the nations.
The islands will look to me
    and wait in hope for my arm.
Lift up your eyes to the heavens,
    look at the earth beneath;
the heavens will vanish like smoke,
    the earth will wear out like a garment
    and its inhabitants die like flies.
But my salvation will last forever,
    my righteousness will never fail.

The verses above from the book of Isaiah, depicts what will happen at the end of the world. The world as we know it will be destroyed, but the salvation brought to us by Jesus Christ will last forever. Choose then to live in the light of Jesus Christ so you may be saved.

 

IJUMAA TAREHE 24 NOVEMBA 2017

Isaya 51: 4 - 6

4 Nisikilizeni mimi, enyi watu wangu; nisikieni, taifa langu; maana sheria itatoka kwangu, nami nitaistarehesha hukumu yangu iwe nuru ya mataifa.
5 Haki yangu i karibu, wokovu wangu umekuwa wazi, na mikono yangu itawahukumu kabila za watu; visiwa vitaningoja, navyo vitautumainia mkono wangu.
6 Inueni macho yenu mbinguni, mkaitazame nchi chini; maana mbingu zitatoweka kama moshi, na nchi itachakaa kama vazi, nao wakaao ndani yake watakufa kadhalika; bali wokovu wangu utakuwa wa milele, na haki yangu haitatanguka.

Mistari ya hapo juu toka kitabu cha Isaya, inatoa picha ya jinsi mwisho wa dunia utakavyokua. Ulimwengu tonaoufahamu utaangamizwa, lakini wokovu tulioupata kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo utaishi milele. Chagua sasa kuishi maisha yanayompendeza Mungu ili uokoke.