Date: 
11-05-2020
Reading: 
Isaiah 44:23

MONDAY 11TH MAY 2020      MORNING                                                                 

Isaiah 44:23 New International Version (NIV)

Sing for joy, you heavens, for the Lord has done this;
    shout aloud, you earth beneath.
Burst into song, you mountains,
    you forests and all your trees,
for the Lord has redeemed Jacob,
    he displays his glory in Israel.

This is the reasonable reaction to seeing who God is. If God's people will not find a reason to praise Him, then creation itself will do. Creation rejoices when God saves and glorifies Himself in His people.

(Romans 8:19-22)


JUMATATU TAREHE 11 MEI 2020      ASUBUHI                                      

ISAYA 44:23

23 Imbeni, enyi mbingu, maana Bwana ametenda hayo; Pigeni kelele, enyi mabonde ya nchi; Pazeni nyimbo, enyi milima; Nawe, msitu, na kila mti ndani yake. Maana Bwana amemkomboa Yakobo, Naye atajitukuza katika Israeli.

Kazi ya Bwana ya kumkomboa mwanadamu inatupa sababu kubwa ya kumwimbia. Ikiwa watu wa Mungu hawataona sababu ya kumsifu, basi uumbaji wenyewe utamsifu. Uumbaji unashangilia Mungu anapookoa na kujitukuza juu ya watu wake. (Warumi 8:19-22)