Event Date: 
28-05-2020

Fuatilia ibada zetu kwa mtandao wa Youtube, Azaniafront Tv za

Kila siku ya wiki: 

Morning Glory saa 12:00 - 1:00 asubuhi,

Ibada ya mchana saa 7:00 - 7:30 Mchana.

Ibada za jumapili: 

1. Kiswahili saa 1:00 - 2:30 asubuhi

2. English service  9:00 - 10:15 am

3. Kiswahili Saa 4:30 - 6:15 mchana

4. Kiswahili Saa 6:30 - 7:15 mchana

Karibu tumwabudu Mungu wetu kwa pamoja.