Date: 
07-03-2019
Reading: 
Hebrews 4:6-10 (Waebrania 4:6-10)

THURSDAY 7TH MARCH 2019

Hebrews 4:6-10 New International Version (NIV)

Therefore since it still remains for some to enter that rest, and since those who formerly had the good news proclaimed to them did not go in because of their disobedience, God again set a certain day, calling it “Today.” This he did when a long time later he spoke through David, as in the passage already quoted:

“Today, if you hear his voice,
    do not harden your hearts.”[a]

For if Joshua had given them rest, God would not have spoken later about another day. There remains, then, a Sabbath-rest for the people of God; 10 for anyone who enters God’s rest also rests from their works,[b] just as God did from his.

Footnotes:

  1. Hebrews 4:7 Psalm 95:7,8
  2. Hebrews 4:10 Or labor

 

On this second day of Lent, Apostle Paul reminds us to heed the word of God and not to harden our hearts. God speaks to us every day through his word. In this Lent period, take time to study and apply the word of God to your life.

 

ALHAMISI TAREHE 7 MACHI 2019

Waebrania 4:6-10

6 Basi, kwa kuwa neno hili limebaki kwamba wako watu watakaoingia humo, na wale waliohubiriwa habari ile zamani walikosa kuingia kwa sababu ya kuasi kwao,
7 aweka tena siku fulani, akisema katika Daudi baada ya muda mwingi namna hii, Leo; kama ilivyonenwa tangu zamani, Leo,kama mtaisikia sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu.
8 Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadaye.
9 Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.
10 Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake.

Tukiwa katika siku ya pili ya Kwaresma, Mtume Paulo anatukumbusha kutii neon la Mungu, na tusiifanye mioyo yetu kuwa migumu. Mungu anasema nasi kila siku kupitia neon lake. Kwaresma hii, tuwe na muda wa kusoma na kutafakari neon la Mungu na kuliishi katika maisha yatu ya kila siku.