Date: 
18-10-2018
Reading: 
Hebrews 4:1-4 (Waebrania 4:1-4)

THURSDAY  18TH OCTOBER 2018 MORNING                       

Hebrews 4:1-4 New International Version (NIV)

A Sabbath-Rest for the People of God

1 Therefore, since the promise of entering his rest still stands, let us be careful that none of you be found to have fallen short of it. For we also have had the good news proclaimed to us, just as they did; but the message they heard was of no value to them, because they did not share the faith of those who obeyed.[a] Now we who have believed enter that rest, just as God has said,

“So I declared on oath in my anger,
    ‘They shall never enter my rest.’”[b]

And yet his works have been finished since the creation of the world.For somewhere he has spoken about the seventh day in these words: “On the seventh day God rested from all his works.”[c]

Footnotes:

  1. Hebrews 4:2 Some manuscripts because those who heard did not combine it with faith
  2. Hebrews 4:3 Psalm 95:11; also in verse 5
  3. Hebrews 4:4 Gen. 2:2

We have heard the message of the gospel which is the Good News. We have been invited to find peace with God and have our sins forgiven by repenting and trusting in Jesus Christ as our Saviour.  Have we the faith to believe and respond?

Pray that God would strengthen your faith daily and enable you to keep choosing to trust and obey Him.   

 

ALHAMISI TAREHE 18 OKTOBA  2018 ASUBUHI             

WAEBRANIA 4:1-4

1 Basi, ikiwa ikaliko ahadi ya kuingia katika raha yake, na tuogope, mmoja wenu asije akaonekana ameikosa. 
Maana ni kweli, sisi nasi tumehubiriwa habari njema vile vile kama hao. Lakini neno lile lililosikiwa halikuwafaa hao, kwa sababu halikuchanganyika na imani ndani yao waliosikia. 
Maana sisi tulioamini tunaingia katika raha ile; kama vile alivyosema, Kama nilivyoapa kwa hasira yangu, Hawataingia rahani mwangu: 
Kwa maana ameinena siku ya saba mahali fulani hivi, Mungu alistarehe siku ya saba, akaziacha kazi zake zote; 

Tumesikia Habari Njema ya Injili. Tumeitwa kutubu dhambi zetu na kumtegemea Yesu Kristo kama Mwokozi wetu. Je! tumeitikia wito huu?

Mwombe Mungu akusaidie kuchagua vyema kila siku kuendelea kuamini na kumtii Yesu Kristo.