Date: 
10-03-2017
Reading: 
Hebrews 11:17-19 (NIV)

SATURDAY 11TH MARCH 2017 MORNING                                     

Hebrews 11:17-19  New International Version (NIV)

17 By faith Abraham, when God tested him, offered Isaac as a sacrifice. He who had embraced the promises was about to sacrifice his one and only son, 18 even though God had said to him, “It is through Isaac that your offspring will be reckoned.”[a] 19 Abraham reasoned that God could even raise the dead, and so in a manner of speaking he did receive Isaac back from death.

Footnotes:

  1. Hebrews 11:18 Gen. 21:12

Abraham showed great faith in God and courage in being willing to obey God.  God rewarded Abraham.    

Sometimes we may face some very challenging situations in our lives. Let us trust God that He will enable us to find a way through our problems.

JUMAMOSI TAREHE 11 MACHI 2017 ASUBUHI                     

WAEBRANIA 11:17-19

 17 Kwa imani Ibrahimu alipojaribiwa, akamtoa Isaka awe dhabihu; na yeye aliyezipokea hizo ahadi alikuwa akimtoa mwanawe, mzaliwa pekee; 
18 naam, yeye aliyeambiwa, Katika Isaka uzao wako utaitwa, 
19 akihesabu ya kuwa Mungu aweza kumfufua hata kutoka kuzimu; akampata tena toka huko kwa mfano. 
 

Ibrahimu alionyesha imani na ujasiri wa hali ya juu wakati alipotii agizo la Mungu la kumtoa mwanae Isaka kama sadaka ya kuteketezwa. Ilikuwa ngumu sana kwake lakini Mungu alimwezesha na Imani ya Ibrahimu iliongezeka.

Tunaweza kukutana na changamoto nzito katika maisha yetu. Tumtegemee Mungu atupe hekima na ushindi katika majaribu yote ya maisha.