Date: 
09-04-2018
Reading: 
Genesis 32:24-30 (Mwanzo 32:24-30)

MONDAY  9TH APRIL 2018  MORNING                             

Genesis 32:24-30 New International Version (NIV)

24 So Jacob was left alone, and a man wrestled with him till daybreak.25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob’s hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man. 26 Then the man said, “Let me go, for it is daybreak.”

But Jacob replied, “I will not let you go unless you bless me.”

27 The man asked him, “What is your name?”

“Jacob,” he answered.

28 Then the man said, “Your name will no longer be Jacob, but Israel,[a]because you have struggled with God and with humans and have overcome.”

29 Jacob said, “Please tell me your name.”

But he replied, “Why do you ask my name?” Then he blessed him there.

30 So Jacob called the place Peniel,[b] saying, “It is because I saw God face to face, and yet my life was spared.”

Footnotes:

  1. Genesis 32:28 Israel probably means he struggles with God.
  2. Genesis 32:30 Peniel means face of God.

 

Jacob had an encounter with God which changed his life. He was given a new name ‘Israel” and he became father of the Nation of Israel.

Do you meet with God? Is He speaking to you?

JUMATATU TAREHE 9 APRILI ASUBUHI                         

MWANZO 32:24-30

24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri. 
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye. 
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki. 
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo. 
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda. 
29 Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko. 
30 Yakobo akapaita mahali pale, Penueli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.   

Yakobo alikutana na Mungu. Mungu alimbadilisha na Mungu alimpa jina mpya la ‘Israeli”. Israeli alikuwa baba wa taifa.

Je! Unakutana na Mungu? Mungu anaongea nawe?