Date: 
30-12-2016
Reading: 
Fri 30th Dec: Matthew 2:7-12 (NIV)

FRIDAY 30TH DECEMBER 2016 MORNING                   

Matthew 2:7-12           New International Version (NIV)

Then Herod called the Magi secretly and found out from them the exact time the star had appeared. He sent them to Bethlehem and said, “Go and search carefully for the child. As soon as you find him, report to me, so that I too may go and worship him.”

After they had heard the king, they went on their way, and the star they had seen when it rose went ahead of them until it stopped over the place where the child was. 10 When they saw the star, they were overjoyed. 11 On coming to the house, they saw the child with his mother Mary, and they bowed down and worshiped him. Then they opened their treasures and presented him with gifts of gold, frankincense and myrrh.12 And having been warned in a dream not to go back to Herod, they returned to their country by another route.

The Magi showed great honour to Christ. They went a long way to find Him. They worshipped Him though He was only a baby. They gave Him gifts.  The gifts which they gave are significant and  meaningful. They gave gold showing that Christ is King, Frankincense because He is a priest and myrrh because of the importance of His death.

 Are you seeking Christ diligently in your life? Do you worship Christ and give the best you can?    

IJUMAA TAREHE 30 DISEMBA 2016 ASUBUHI             

MATHAYO 2:7-12

7 Kisha Herode akawaita wale mamajusi faraghani, akapata kwao hakika ya muda tangu ilipoonekana ile nyota. 
8 Akawapeleka Bethlehemu, akasema, Shikeni njia, mkaulize sana mambo ya mtoto; na mkiisha kumwona, nileteeni habari, ili mimi nami niende nimsujudie. 
9 Nao waliposikia maneno ya mfalme, walishika njia; na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, hata ikaenda ikasimama juu ya mahali alipokuwapo mtoto. 
10 Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno. 
11 Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mamaye, wakaanguka wakamsujudia; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tunu; dhahabu na uvumba na manemane. 
12 Nao wakiisha kuonywa na Mungu katika ndoto wasimrudie Herode, wakaenda zao kwao kwa njia nyingine. 
 

Mamajusi walikuwa na bidii kumtafuta Kristo. Walisafiri kutoka mbali. Waliabudu na kumsujudu pamoja na kwamba alikuwa mtoto mdogo. Walimpa mtoto Yesu zawadi. Zawadi zao zilikuwa na maana malumu kuhusu maisha ya Yesu. Walimpa dhahabu kwa sababu Yesu ni mfalme, Walimpa uvumba kwa sababu ni Kuhani na walimpa manemane kwa sababu ya upweke wa kifo chake.

Wewe je! Umamtafuta Yesu kwa bidii? Unamwambudu Yesu na kumpa yale wa thamani katika maisha yako?