Date: 
30-06-2020
Reading: 
Exodus 13:13-14

TUESDAY 30TH JUNE 2020    MORNING                                        

Exodus 14:13-14 New International Version (NIV)

13 Moses answered the people, “Do not be afraid. Stand firm and you will see the deliverance the Lord will bring you today. The Egyptians you see today you will never see again. 14 The Lord will fight for you; you need only to be still.”

 

Whenever things go dark in our lives, let us remember the impossibilities that God has taken us through. God has a plan for everyone, and has promised good to each of us. If God is for us who can be against us? He makes a way where seems to be no way.


JUMANNE TAREHE 30 JUNE 2020     ASUBUHI                             

KUTOKA 14:13-14

13 Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.

 

Zinapofika nyakati tukakosa matumaini katika maisha yetu, tukumbuke jinsi Mungu alivyotupitisha katika mambo yale tuliyodhani hayawezekani. Mungu anao mpango kwa ajili ya kila mmoja wetu, na ameahidi mema kwa ajili yetu. Ikiwa Mungu yuko upande wetu ni nani aliye juu yetu? Yeye hufanya njia mahali panapoonekana kutokuwa na njia.