Date: 
15-05-2019
Reading: 
Ephesians 5:1-2 (Waefeso 5:1-2)

WEDNESDAY 15TH MAY 2019 MORNING                                     

Ephesians 5:1-2 New International Version (NIV)

Follow God’s example, therefore, as dearly loved children  and walk in the way of love, just as Christ loved us and gave himself up for us as a fragrant offering and sacrifice to God.

Jesus died for us and rose again so that we can be friends of God. Because God first loved us we should love Him. Let us show love to one another.


JUMATANO TAREHE 15 MEI 2019 ASUBUHI                               

EFESO 5:1-2

1 Hivyo mfuateni Mungu, kama watoto wanaopendwa; 
mkaenende katika upendo, kama Kristo naye alivyowapenda ninyi tena akajitoa kwa ajili yetu, sadaka na dhabihu kwa Mungu, kuwa harufu ya manukato. 

Yesu alikufa msalabani na kufufuka tena ili tuweze kuwa marafiki wa Mungu. Kwa sababu Mungu alitupenda kwanza, sisi pia tunapaswa kumpenda Mungu. Pia tupendane sisi kwa sisi.