Date: 
30-06-2017
Reading: 
Ephesians 4:25-3 NIV {Efeso 4:25-3}

SATURDAY 1ST JULY 2017, MORNING                                 

Ephesians 4:25-32 New International Version (NIV)

25 Therefore each of you must put off falsehood and speak truthfully to your neighbor, for we are all members of one body. 26 “In your anger do not sin”[a]: Do not let the sun go down while you are still angry, 27 and do not give the devil a foothold. 28 Anyone who has been stealing must steal no longer, but must work, doing something useful with their own hands, that they may have something to share with those in need.

29 Do not let any unwholesome talk come out of your mouths, but only what is helpful for building others up according to their needs, that it may benefit those who listen. 30 And do not grieve the Holy Spirit of God, with whom you were sealed for the day of redemption. 31 Get rid of all bitterness, rage and anger, brawling and slander, along with every form of malice. 32 Be kind and compassionate to one another, forgiving each other, just as in Christ God forgave you.

Footnotes:

  1. Ephesians 4:26 Psalm 4:4 (see Septuagint)

The Apostle Paul writes to the Christians in Ephesians as to how to behave in the world.  As we travel to heaven we should be close to God and live in a way which is pleasing to Him. Our good behavior will also be a testimony to those whose life style is different. 

Let us follow his advice and  put away all worldly behaviors.

   

JUMAMOSI TAREHE 1ST JULAI 2017, ASUBUHI                         

EFESO 4:25-32

 

25 Basi uvueni uongo, mkaseme kweli kila mtu na jirani yake; kwa maana tu viungo, kila mmoja kiungo cha wenzake. 
26 Mwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka; 
27 wala msimpe Ibilisi nafasi. 
28 Mwibaji asiibe tena; bali afadhali afanye juhudi, akitenda kazi iliyo nzuri kwa mikono yake mwenyewe, apate kuwa na kitu cha kumgawia mhitaji. 
29 Neno lo lote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kumfaa mwenye kuhitaji, ili liwape neema wanaosikia. 
30 Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi. 
31 Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya; 
32 tena iweni wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkasameheane kama na Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi.

Mtume Paulo aliwaandikia Wakristo kule Efeso. Anawahimiza waishi maisha matakatifu. Ukiacha tabia mbaya utampendeza Mungu na itakuwa ushuda mzuri kwa watu wengine.

Ufuate ushauri wa Mtume Paulo na utabarikiwa.