Date: 
12-09-2020
Reading: 
Deuteronomy 24:14-15

SATURDAY 12TH SEPTEMBER 2020  MORNING                              

Deuteronomy 24:14-15 New International Version (NIV)

14 Do not take advantage of a hired worker who is poor and needy, whether that worker is a fellow Israelite or a foreigner residing in one of your towns. 15 Pay them their wages each day before sunset, because they are poor and are counting on it. Otherwise they may cry to the Lord against you, and you will be guilty of sin.

 

Differences of class and wealth can create opportunities for injustice. Justice requires treating workers fairly. Therefore, employers must regard their obligations to their lowest employees as sacred and binding.


JUMAMOSI TAREHE 12 SEPTEMBA 2020    ASUBUHI    KUMBUKUMBU 24:14-15

14Usimwonee mtumishi mwenye ujira aliye maskini na uhitaji, kama ni wa nduguzo, au kama ni wageni wako mmojawapo walio katika nchi yako, ndani ya malango yako;
15mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia huo; asije akamlilia Bwana juu yako, ikawa ni dhambi kwako.

Tofauti za kijamii na utajiri zinaweza kutengeneza mazingira ya watu kutotenda haki. Haki inahitaji kuwa na usawa kati ya watumishi wote. Kwa hiyo, waajiri ni lazima kutunza wajibu wao kwa wale wafanyakazi waliowaajiri chini yao kama tendo la ibada na lenye kuwafunga (muhimu).