Date: 
02-09-2017
Reading: 
Daniel 4:1-3 NIV

SATURDAY 2ND SEPTEMBER 2017 MORNING                               

Daniel 4:1-3 New International Version (NIV)

Nebuchadnezzar’s Dream of a Tree

1 [a]King Nebuchadnezzar,

To the nations and peoples of every language, who live in all the earth:

May you prosper greatly!

It is my pleasure to tell you about the miraculous signs and wonders that the Most High God has performed for me.

How great are his signs,
    how mighty his wonders!
His kingdom is an eternal kingdom;
    his dominion endures from generation to generation.

Footnotes:

  1. Daniel 4:1 In Aramaic texts 4:1-3 is numbered 3:31-33, and 4:4-37 is numbered 4:1-34.

King Nebuchadnezzar had been very proud and built a statue of himself for people to worship. But God humbled him. God revealed His power to the king by the way God protected His servants Now King Nebuchadnezzar has realised that God alone deserves our praise and worship.

May God keep us humbly and faithful in worshipping Him alone.

JUMAMOSI TAREHE 2 SEPTEMBA 2017 ASUBUHI                         

DANIELI 4:1-3

 1 Mfalme Nebukadreza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia yote; Amani iongezeke kwenu. 
Mimi nimeona vema kutangaza habari za ishara na maajabu, aliyonitendea Mungu aliye juu. 
Ishara zake ni kubwa kama nini! Na maajabu yake yana uweza kama nini! Ufalme wake ni ufalme wa milele; na mamlaka yake ni ya kizazi hata kizazi. 
 

Mwanzoni Mfalme Nebukadreza alikuwa na kiburi sana. Alijijengea sanamu yake mwenywe, na alitaka watu kuiabudu. Lakini Mungu alionyesha uwezo wake kwa kuwalinda watumishi wake. Baadae Mfalme alijua ukweli na kutatangaza kwamba hakuna Mungu nyingine.

Mungu atusaidie tuwe wanyenyekevu na tumwabudu yeye tu.