Date: 
10-03-2021
Reading: 
Colossians 1:16-17 (Wakolosai 1:16-17)

WEDNESDAY 10TH MARCH 2021 MORNING                                      

Colossians 1:16-17 New International Version (NIV)

16 For in him all things were created: things in heaven and on earth, visible and invisible, whether thrones or powers or rulers or authorities; all things have been created through him and for him. 17 He is before all things, and in him all things hold together. 

The glory of God was the original purpose of creation. Since Christ hath made all things for Himself, his people are called to consecrate themselves and they own for His glory.


JUMATANO TAREHE 10 MACHI 2021  ASUBUHI                        

WAKOLOSAI 1:16-17

16 Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
17 Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.

Kusudi halisi la uumbaji lilikuwa ni kumpa Mungu utukufu. Kwa kuwa Kristo aliumba vitu vyote kwa ajili yake, watu wake wanapaswa kujitakasa pamoja na vitu vyote walivyo navyo kwa utukufu wake.