Date: 
24-02-2018
Reading: 
Amos 7:1-6 NIV (Amosi 7:1-6)

SATURDAY 24TH FEBRUARY 2018 MORNING                                 

Amos 7:1-6 New International Version (NIV)

Locusts, Fire and a Plumb Line

1 This is what the Sovereign Lord showed me: He was preparing swarms of locusts after the king’s share had been harvested and just as the late crops were coming up. When they had stripped the land clean, I cried out, “Sovereign Lord, forgive! How can Jacob survive? He is so small!”

So the Lord relented.

“This will not happen,” the Lord said.

This is what the Sovereign Lord showed me: The Sovereign Lord was calling for judgment by fire; it dried up the great deep and devoured the land. Then I cried out, “Sovereign Lord, I beg you, stop! How can Jacob survive? He is so small!”

So the Lord relented.

“This will not happen either,” the Sovereign Lord said.

God spoke to the prophet Amos about the judgement which He planned to send on the people. Amos pleaded for God’s mercy. God responded and agreed to withdraw the punishment.

Let us pray on behalf of our nation. Let us pray for God’s forgiveness and mercy for us.

JUMAMOSI TAREHE 24 FEBRUARI ASUBUHI  2018                     

AMOSI 7:1-6

1 Haya ndiyo aliyonionyesha Bwana MUNGU; tazama, aliumba nzige mwanzo wa kuchipuka kwake mimea wakati wa vuli; na tazama, ilikuwa mimea ya wakati wa vuli baada ya mavuno ya mfalme. 
Ikawa, nzige walipokwisha kula majani ya nchi, ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, samehe, nakusihi; Yakobo atasimamaje? Kwa maana ni mdogo. 
Bwana akaghairi katika jambo hili. Jambo hili halitakuwa, asema Bwana. 
Haya ndiyo aliyonionyesha Bwana MUNGU; tazama, Bwana MUNGU aliita ili kushindana kwa moto; nao ukavila vilindi vikuu, ukataka kuiteketeza nchi kavu. 
Ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, acha, nakusihi; Yakobo atasimamaje? Kwa maana ni mdogo. 
Bwana akaghairi katika jambo hili pia. Jambo hili halitakuwa, asema Bwana MUNGU. 
 

Mungu alinena na Nabii Amosi. Mungu alimweleza kuhusu adhabu aliyopanga kuwapa watu. Amosi alimwomba Mungu awahurumie. Mungu akakubali kutowaadhibu.

Ni muhimu kutubu dhambi zetu na kuacha dhambi. Pia tumwombe Mungu ahurumie taifa letu.