Date: 
18-11-2019
Reading: 
Amos 1:6-8

MONDAY 18TH NOVEMBER 2019 MORNING                                     

Amos 1:6-8 New International Version (NIV)

This is what the Lord says:

“For three sins of Gaza,
    even for four, I will not relent.
Because she took captive whole communities
    and sold them to Edom,
I will send fire on the walls of Gaza
    that will consume her fortresses.
I will destroy the king[d] of Ashdod
    and the one who holds the scepter in Ashkelon.
I will turn my hand against Ekron,
    till the last of the Philistines are dead,”
says the Sovereign Lord.

God has called Christians not only to be in relationship with Him but also to be in relationships with others. For those Christians whose tendency has been to focus more on the invisible God than on His visible creation, the book of Amos teaches us that both prayer and service are essential.


JUMATATU TAREHE 18 NOVEMBA 2019 ASUBUHI                                       

AMOSI 1:6-8

Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;
lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.

Mungu amewaita Wakristo siyo tu kuhusiana naye lakini pia kuwa na mahusiano na watu. Kwa wale Wakristo ambao wamekuwa na utaratibu wa kuweka mkazo zaidi kwa Mungu asiyeonekana kuliko kwa uumbaji wake unaoonekana, kitabu cha Amos kinatufundisha kuwa maombi na huduma vinakwenda pamoja.