Date: 
13-01-2020
Reading: 
Acts 16:31-34 (Matendo 16:31-34)

MONDAY 13TH JANUARY 2020  MORNING                                      

Acts 16:31-34 New International Version (NIV)

31 They replied, “Believe in the Lord Jesus, and you will be saved—you and your household.” 32 Then they spoke the word of the Lord to him and to all the others in his house. 33 At that hour of the night the jailer took them and washed their wounds; then immediately he and all his household were baptized. 34 The jailer brought them into his house and set a meal before them; he was filled with joy because he had come to believe in God—he and his whole household.

God has promised eternal life to you, if you believe in His Son Jesus Christ. If you have truly believed in Christ, rejoice because you have assurance of salvation. You have eternal life and will spend all of eternity enjoying fellowship with your God.


JUMATATU TAREHE 13 JANUARI 2020  ASUBUHI  

MATENDO YA MITUME 16:31-34

31 Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako.
32 Wakamwambia neno la Bwana, yeye na watu wote waliomo nyumbani mwake.
33 Akawakaribisha saa ile ile ya usiku, akawaosha mapigo yao, kisha akabatizwa, yeye na watu wake wote wakati uo huo.
34 Akawaleta juu nyumbani kwake, akawaandalia chakula, akafurahi sana, yeye na nyumba yake yote, maana amekwisha kumwamini Mungu.

Mungu amekuahidi uzima wa milele ikiwa utamwamini mwana wake Yesu Kristo.  Ikiwa kweli umemwamini Yesu Kristo, furahi kwa kuwa unayo hakika ya wokovu. Unao uzima wa milele; na utaishi pamoja na Mungu milele yote.