Date: 
15-03-2017
Reading: 
Acts 12:18-19 (NIV)

WEDNESDAY 15TH MARCH 2017 MORNING                                   

Acts 12:18-19 New International Version (NIV)

18 In the morning, there was no small commotion among the soldiers as to what had become of Peter. 19 After Herod had a thorough search made for him and did not find him, he cross-examined the guards and ordered that they be executed.

Herod’s Death

Then Herod went from Judea to Caesarea and stayed there.

God sent an angel to rescue Peter from prison. This was a miracle.  It was not the fault of the prison guards that Peter escaped. But Herod decided to kill all the guards. This was a very harsh treatment.

Pray that those in authority and with responsibility to administer Justice, would do so fairly.

JUMATANO TAREHE 15 MACHI 2017 ASUBUHI                          

MATENDO 12:18-19

18 Hata kulipopambauka askari wakaingiwa na fadhaa nyingi, amekuwaje Petro. 
19 Na Herode alipomtafuta, asimwone, aliwauliza-uliza wale walinzi, akaamuru wauawe. Kisha akatelemkia kutoka Uyahudi kwenda Kaisaria, akakaa huko. 
 

Mungu alituma malaika gerezani kumwokoa Petro. Ni miujiza ilitendeka. Si kosa la walinza kwamba Petro alitoweka gerezani. Mfalme Herode alikuwa mkatili kuamuru walinzi kuuwawa.

Waombee wenye mamlaka na wahusika na sheria na mahakama kuwa na hekima na huruma, na watekeleze wajibu wao kwa usahihi.