Date: 
16-08-2019
Reading: 
2Corinthians 5:6-10

FRIDAY 16TH AUGUST 2019 MORNING                          
2 Corinthians 5:6-10 New International Version (NIV)
6 Therefore we are always confident and know that as long as we are at home in the body we are away from the Lord. 7 For we live by faith, not by sight. 8 We are confident, I say, and would prefer to be away from the body and at home with the Lord. 9 So we make it our goal to please him, whether we are at home in the body or away from it. 10 For we must all appear before the judgment seat of Christ, so that each of us may receive what is due us for the things done while in the body, whether good or bad.

 

This is the testimony of the Apostle Paul. He longed to go to heaven to be with the Lord. While he was on earth Paul did his best to please God. He knew that he would be judged by Christ after this life.
Let us also make it our goal to please God in all that we do in our life here on earth. But let us not trust in our own efforts but rather in Jesus Christ who died to save us.


IJUMAA TAREHE 16 AGOSTI 2019 ASUBUHI               
2 KORINTHO 5:6-10
6 Basi siku zote tuna moyo mkuu; tena twajua ya kuwa, wakati tuwapo hapa katika mwili, tunakaa mbali na Bwana. 
7 (Maana twaenenda kwa imani, si kwa kuona.) 
8 Lakini tuna moyo mkuu; nasi tunaona ni afadhali kutokuwamo katika mwili na kukaa pamoja na Bwana. 
9 Kwa hiyo, tena, ikiwa tupo hapa, au ikiwa hatupo hapa, twajitahidi kumpendeza yeye. 
10 Kwa maana imetupasa sisi sote kudhihirishwa mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo, ili kila mtu apokee ijara ya mambo aliyotenda kwa mwili, kadiri alivyotenda, kwamba ni mema au mabaya. 

 

Maneno haya ni ushuhuda wa Mtume Paulo. Paulo alitamani kwenda mbinguni kuwa pamoja na Bwana. Wakati alikuwa duniani Paulo alijitahidi kuisha maisha yanayompendeza Mungu. Paulo alijua kwamba atapita kwenye hukumu wa Yesu Kristo.
Tujitahidi pia kufanya mapenzi ya Mungu hapa duniani. Lakini tusitegemee matendo yetu mema. Bali tumtegemee Yesu Kristo kwa wokovu wetu.