Date: 
17-07-2017
Reading: 
2 Timothy 2:11-13 (NIV) {2Timotheo 2:11-13}

MONDAY 17TH JULY 2017 MORNING                                  

2 Timothy 2:11-13  New International Version (NIV)

11 Here is a trustworthy saying:

If we died with him,
    we will also live with him;
12 if we endure,
    we will also reign with him.
If we disown him,

    he will also disown us;
13 if we are faithless,
    he remains faithful,
    for he cannot disown himself.

The Apostle Paul wrote these words in one of his letters to the young pastor Timothy. They remind Timothy about his relationship to the Lord Jesus Christ.  They remind him also of what he needs to teach those whom he is leading.

Let us be committed to our Lord Jesus Christ. Let us be faithful to Jesus and always follow Him.

JUMATATU TAREHE 17 JULAI 2017 ASUBUHI                   

2 TIMOTHEO 2:11-13

11 Ni neno la kuaminiwa. Kwa maana, Kama tukifa pamoja naye, tutaishi pamoja naye pia; 
12 Kama tukistahimili, tutamiliki pamoja naye; Kama tukimkana yeye, yeye naye atatukana sisi; 
13 Kama sisi hatuamini, yeye hudumu wa kuaminiwa. Kwa maana hawezi kujikana mwenyewe. 
 

Mtume Paulo aliandika maneno haya katika mmoja ya nyaraka zake kwa Mchungaji Kijana Timotheo. Maneno haya yanamkumbusha Timotheo kuhusu mahusiano yake na Bwana Yesu Kristo, na jinsi anapaswa kuongoza watu wanaomtumikia.

Ni maneno ya kutukumbusha maisha  ya uanafunzi na ufuasi wa Yesu.