Date: 
25-06-2020
Reading: 
2 Thesalonians 3:1-5

THURSDAY 25TH JUNE 2020    MORNING                                             

2THESSALONIANS 3:1-5 (NIV)

1 As for other matters, brothers and sisters, pray for us that the message of the Lord may spread rapidly and be honored, just as it was with you. 2 And pray that we may be delivered from wicked and evil people, for not everyone has faith. 3 But the Lord is faithful, and he will strengthen you and protect you from the evil one. 4 We have confidence in the Lord that you are doing and will continue to do the things we command. 5 May the Lord direct your hearts into God’s love and Christ’s perseverance.

Paul also reminds us to honor the Word of God by obeying and sharing it with others. It is important that we pray for each other that, God who is faithful will give us the strength we need to serve Him. Moreover, He will protect us from our enemies.


ALHAMISI TAREHE 25 JUNE 2020     ASUBUHI             

2 WATHESALONIKE 3:1-5

1 Hatimaye, ndugu, tuombeeni, neno la Bwana liendelee, na kutukuzwa vile vile kama ilivyo kwenu; 2 tukaokolewe na watu wasio haki, wabaya; maana si wote walio na imani. 3 Lakini Bwana ni mwaminifu, atakayewafanya imara na kuwalinda na yule mwovu. 4 Nasi tumemtumaini Bwana kwa mambo yenu, kwamba mnayafanya tulivyowaagiza, tena kwamba mtayafanya.
Bwana awaongoze mioyo yenu mkapate pendo la Mungu, na saburi ya Kristo.

Mtume Paulo anatukumbusha kuliheshimu neno la Mungu, kwa kulitii na kuwashuhudia wengine. Ni muhimu kuombeana sisi kwa sisi, ili Mungu aliye mwaminifu atupe nguvu tunayohitaji - ili tumtumikie. Na zaidi ya yote, Mungu atatulinda dhidi ya maadui zetu.