Date: 
08-02-2017
Reading: 
2 Corinthians 3:12-18 (NIV)

WEDNESDAY 8TH FEBRUARY 2017 MORNING            

2 Corinthians 3:12-18 New International Version (NIV)

12 Therefore, since we have such a hope, we are very bold. 13 We are not like Moses, who would put a veil over his face to prevent the Israelites from seeing the end of what was passing away. 14 But their minds were made dull, for to this day the same veil remains when the old covenant is read. It has not been removed, because only in Christ is it taken away. 15 Even to this day when Moses is read, a veil covers their hearts.16 But whenever anyone turns to the Lord, the veil is taken away. 17 Now the Lord is the Spirit, and where the Spirit of the Lord is, there is freedom. 18 And we all, who with unveiled faces contemplate[a] the Lord’s glory, are being transformed into his image with ever-increasing glory, which comes from the Lord, who is the Spirit.

Footnotes:

  1. 2 Corinthians 3:18 Or reflect

We are living under the New Covenant. We receive salvation through faith in Jesus Christ. Jesus died once and for all on the cross bearing the sins of the whole world. He rose in victory. This is why we rejoice because we are no longer under condemnation of the law which we are not able to keep perfectly. It is by Grace that we are saved through faith not of works, so no man should boast.

Rejoice in your salvation.

JUMATANO TAREHE 8 FEBRUARI 2017 ASUBUHI           

2 KORINTHO 3:12-18

12 Basi, kwa kuwa mna taraja la namna hii, twatumia ujasiri mwingi; 
13 nasi si kama Musa alivyotia utaji juu ya uso wake, ili kwamba Waisraeli wasitazame sana mwisho wa ile iliyokuwa ikibatilika; 
14 ila fikira zao zilitiwa uzito. Kwa maana hata leo hivi, wakati lisomwapo Agano la Kale, utaji uo huo wakaa; yaani, haikufunuliwa kwamba huondolewa katika Kristo; 
15 ila hata leo, torati ya Musa isomwapo, utaji huikalia mioyo yao. 
16 Lakini wakati wo wote watakapomgeukia Bwana, ule utaji huondolewa. 
17 Basi ndiye Roho; walakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru. 
18 Lakini sisi sote, kwa uso usiotiwa utaji, tukiurudisha utukufu wa Bwana, kama vile katika kioo, tunabadilishwa tufanane na mfano uo huo, toka utukufu hata utukufu, kama vile kwa utukufu utokao kwa Bwana, aliye Roho.

Sisi hatupo chini ya sheria, Agano la Kale. Tupo kwenye neema wa Agano Jipya. Yesu Kristo alikufa mara mmoja na kufufuka tena. Yeye alikuwa mshindi. Alibeba dhambi za ulimwengu. Tumeokolewa kwa neema kwa njia ya imani si kwa matendo ya sheria ili mtua yeyote asijivunie.

Furahia wokovu wako.